Ajira TPDC

Ajira TPDC

hawa jamaa sijui wanachofikiria wao wanataka watu wenye ufaulu wa daraja la kwanza na la pili la juu sijui kama watapata watu kuna baadhi ya shahada nchini mwetu hazipo sijui itakuwaje ngoja tusubiri tuone

wakikosa kabsaaaa watakuita
 
tuma maombi wakachuje wenyewe... jambo la msingi ambalo nimeliona na muhimu ni kuzingatia masharti yale jumla hasa lile linataka kuapply nafasi moja tu regardless ya kama ume qualify post nyingine ....

Well said my friend, tuache kulalama tutume maombi wakachuje wenyewe manake you never know. Labda tumeridhika kukaa kwa shemeji
 
Wakwepa hesabu utawajua tu. What I understand, of recent, science university students have been doing good, we should not generalize on individual poor performance. First na upper second zipo za kimwaga na nowadays hawataki kubakishwa kufundisha manake lini watakua senior lecturers wakati wakubwa wameshika mpini, bora waingie mtaani wale mshahara mnono tu
 
Vilaza utawajua tu eti hakuna 1st wala 2nd classs??! Seriously nchi nzima hakuna ...... Aaaaa cha wacha utani bwana mdogo wacha vipanga wale matunda ya kumesha nkurumah hall wakipiga msuli ww uliekuwa mwenyej wa club le mambo subir za serkali mwez wa tsa ajira laki nane (8) zaja
 
Ndugu acha maneno magumu hivyo
 
asante kiongozi kwa kutuletea hizi nafasi maana siye tupo mbali na magezeti.
 
hawa jamaa sijui wanachofikiria wao wanataka watu wenye ufaulu wa daraja la kwanza na la pili la juu sijui kama watapata watu kuna baadhi ya shahada nchini mwetu hazipo sijui itakuwaje ngoja tusubiri tuone

Hayo madaraja wanayoyataka tunayo ila ndo ivo hizo kazi wanapeana kwa kujuana
 
Hayo madaraja wanayoyataka tunayo ila ndo ivo hizo kazi wanapeana kwa kujuana

Huwa najiuliza kwanini wakenya wanapata ajira zetu hapa wakati sie ni wazuri sana kwenye performance, kumbe ni uoga tu kuomba kazi kwa kisingizio kuwa eti 'after all kazi zenyewe washapeana hii ni formality tu'.

Huwa natamani kuomba kazi kila siku na huwa napata ila nachagua na nyingi nazikataa. Nashangaa unayesema eti zina watu tayari. Don't be coward my friend. Usisubiri ukalishwe mezani, tafuta mwenyewe namna ya kukaa
 
hawa jamaa wanakera sana ...na habari yao ya first class na upper second....wengine vyuo vyetu kupata hiyo upper second ni kama ndoto vileee.....mbaya zaid shirika hili ni mali ya umma
 
hawa jamaa wanakera sana ...na habari yao ya first class na upper second....wengine vyuo vyetu kupata hiyo upper second ni kama ndoto vileee.....mbaya zaid shirika hili ni mali ya umma

Umeona eehh? Masharti kama tunaomba kua ma Titorial Assistant bwana.
 
nina lower lakina natuma tu hivyo hivyo, first na uper kwani tunaenda kufundisha huko waache ukichaa wao watuambie sasa sisi tuende wapi, ukimaliza chuo bhana hata kama una pass we ni jembe. vinginevyo unge disco alaa.

Hahaaa umeona eehh. Hapa mwnyewe natuma mzee. Ila hiyo ya: kuapply nafasi moja tu na hand derivery haitapokelewa, nimei LIKE
 
kuzingatia vigezo hivi ni muhimu.. sana
MODE OF APPLICATION
 Interested and suitable candidates should ensure that their
applications along with their curriculum vitae, indicating current telephone
contacts are received by 14th February, 2014.
 Photocopies of relevant certificates and one recent passport size
photograph should be attached with the hand written application letter.
 All application should be directed through Postal Services, Hand Delivery will
not be accepted
 Each applicant should indicate two names of referees.
 Each applicant should indicate the Number and Title of Job Position applied
for and preferred Work Station on the envelope and in the application letter.
 Applicant should not apply in more than ONE position
 All Applicants holding foreign universities certificates should attach TCU
approval certificate.
 Application without relevant documents will not be considered.
 Only short listed candidates will be contacted.
NOTE: Failure to observe any of the above conditions, the application will not be
considered
For more information visit Tanzania Petroleum Development Corporation
APPLY TO:-
MANAGING DIRECTOR,
TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION, BENJAMIN
W. MKAPA TOWER A, AZIKIWE/JAMHURI STREET P.O.BOX 2774,
DAR-ES-SALAAM,
TANZANIA.

issue ya 1st na upper second au master ni namna ya kuchuja watu kiaina... binafsi bado naona kama unavigezo muhimu kwanini usiombe hasa hichi

A working experience in the related field will be an added
advantage.
 
Sasa hv manake nini watu walitangaza same posts,wakashortlist,wakafanyisha watu interview ya kwnz na ya pili,writtn na oral. Then wanatangaza tena nafas hzo hzo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom