Ajira TPDC

Sasa hv manake nini watu walitangaza same posts,wakashortlist,wakafanyisha watu interview ya kwnz na ya pili,writtn na oral. Then wanatangaza tena nafas hzo hzo!
 
Ndugu hizi ni mpya mbichi kabisa, zile zilikua kama 50 na kitu, hizi ni karibia 200. Usikate tamaa inawezekana hii ndio zamu yako kwani hamuwezi kupata wote kwa mara moja. Chukua ushauri wangu utafanikiwa ndugu
 
Naomba kufahamu hiyo salary scale ya tpdc -ps-1 ndio shs ngapi?

Nasikia ni kama 1.7m/- ila uzuri wao ukiingia unalazimika kupelekwa abroad for further training hata kabla ya kumaliza probation nchi za Norway, UK, Australia etc. Wanahitaji wataalam kwa gharama yoyote na kwa haraka sana. Vijana wengi hawamalizi miaka miwili wanapelekwa tena shule. Huu ni mkataba walisaini na.makampuni yanayotafuta mafuta na gesi, hela inatoka kwa watafutaji gesi.

Jamaa yangu ni internal auditor pale ananipa story zao kila siku. Hata ili tangazo nililijua a day kabla ya kutoka
 
muulize internal auditor(mshkaj wako). kama wenye lower second tunaweza itwa japo nitatupiamo.
maana nina ka lower na cpa.
Nasikia ni kama 1.7m/- ila uzuri wao ukiingia unalazimika kupelekwa abroad for further training hata kabla ya kumaliza probation nchi za Norway, UK, Australia etc. Wanahitaji wataalam kwa gharama yoyote na kwa haraka sana. Vijana wengi hawamalizi miaka miwili wanapelekwa tena shule. Huu ni mkataba walisaini na.makampuni yanayotafuta mafuta na gesi, hela inatoka kwa watafutaji gesi.

Jamaa yangu ni internal auditor pale ananipa story zao kila siku. Hata ili tangazo nililijua
 
Nasikia ni kama 1.7m/- ila uzuri wao ukiingia unalazimika kupelekwa abroad for further training hata kabla ya kumaliza probation nchi za Norway, UK, Australia etc. Wanahitaji wataalam kwa gharama yoyote na kwa haraka sana. Vijana wengi hawamalizi miaka miwili wanapelekwa tena shule. Huu ni mkataba walisaini na.makampuni yanayotafuta mafuta na gesi, hela inatoka kwa watafutaji gesi.

Jamaa yangu ni internal auditor pale ananipa story zao kila siku. Hata ili tangazo nililijua a day kabla ya kutoka
Hivi una uhakika ndugu yangu,wanaope
Lekwa mafunzo ni wafanyakazi wote i mean mpk security?
 
Ndugu, hapa tunaongelea rare professions, ila hata mshikaji wangu ashaenda ingawa priority ni kwa key staff waliopo kwenye oil and gas.

Lakini pia sio kila auditor au accountant anafit moja kwa moja bila kupata mafunzo specific kwenye industry ya petrol and gas
 
BRAZA na SISTAZ.
hata kama una pass wewe apply tu. mimi kuna sehemu walikuwa wanataka hizo hizo but na ka lower kangu nikaitwa.
Wewe tupia maana sijawahi kusikia mtu kapigwa au kanyang'anywa vyeti kwa ku apply sehemu ambazo vigezo havitimii.
 
Vilaza utawajua tu eti hakuna 1st wala 2nd classs??! Seriously nchi nzima hakuna ...... Aaaaa cha wacha utani bwana mdogo wacha vipanga wale matunda ya kumesha nkurumah hall wakipiga msuli ww uliekuwa mwenyej wa club le mambo subir za serkali mwez wa tsa ajira laki nane (8) zaja
Kama sio mwanga au mchawi utakuwa na roho mbaya.
sio kila aliyekesha nkurumah au m-degree alipata grade aliyo deserve.
Ukiendelea na hizo logic watoto wako watapata shida na watakuona kama mtu sio msomi.
Elimu haijakusaidia
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom