NI kweli kujiajiri NI muhimu lakini ukweli utabaki paleple kwamba si wote wanaweza kujiajiri. Lazima awepo mwajiri na mwajiriwa.
serikali ya awamu ya SITA tunaomba wakati mkiendelea na miradi mingine ya kimaendeleo, hebu tangazani Ajira za kutosha kwa vijana wetu walioko mtaani. Na sio kama zile Ajira za mwaka Jana.