Mwafricani
Member
- Nov 26, 2014
- 31
- 18
Kwann kwenye hichinkipengele cha status kwenye app kiko hakijajazwa wakat kwenye website wamekijaza vizuri kuwa not shortlisted kwa oral.....ilaa hii aptude test bwana et nina 91 afu siko shortlisted😀🤣
Kupata 91 siyo tatizo mkuu inategemeana na nafasi zipo ngapii na walio juu yako ni wangapi na ratio iliyopo kwenye kanuni zao ni 1:3 ila Hongera sana umepambanaaKwann kwenye hichinkipengele cha status kwenye app kiko hakijajazwa wakat kwenye website wamekijaza vizuri kuwa not shortlisted kwa oral.....ilaa hii aptude test bwana et nina 91 afu siko shortlisted😀🤣View attachment 3000887
Mambo ya status hasa kwenye app huaga kuna wakati system inacheza uhakika ni PDF ndyo Ina ukwelii woteKwann kwenye hichinkipengele cha status kwenye app kiko hakijajazwa wakat kwenye website wamekijaza vizuri kuwa not shortlisted kwa oral.....ilaa hii aptude test bwana et nina 91 afu siko shortlisted😀🤣View attachment 3000887