Habari wanajukwaa samahani kwa wenye uzoefu wa ajira portal wanisaidie maana kila nikiomba kazi siitwi hata kwenye interview na kila mara najaribu kuapply.
Mnaoitwa kwenye interview mnatumia mbinu gani mnisaidie maana umri unaenda na mimi nataka niajiriwe serikalini.
Mnaoitwa kwenye interview mnatumia mbinu gani mnisaidie maana umri unaenda na mimi nataka niajiriwe serikalini.