Ajira ngumu jamani!!!!!!

Ajira ngumu jamani!!!!!!

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,561
Reaction score
48,909
AJIRA NGUMU JAMANI!!!!! Jamaa m1 alienda kuomba kazi kwenye ZOO. Akaambiwa nafasi ya kazi ipo, hatuna sokwe. " Hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa" Jamaa siku ya kwanza akavaa walipokuja watalii mambo yalienda vizuri. Siku iliyofuata banda lake liliwekwa kwa juu ya banda la simba. Jamaa katika kuongeza ongeza mbwembwe akawa anarukaruka, kwa bahati mbaya si akaangukia ndani ya banda la simba. . Akawa anapiga kelele " mamaa, nakufaa" mara yule simba akamwambia, " Acha ufala wewe, keele za nini sasa? mi mwenyewe binadamu, rudi kwenye banda lako kabla watalii hawajaja watatushtukia bure!!!
 
hahhhhhhaaaaaaaaaaahhhhhhhhhaaaa!!!!!!!!:mbavu zangu jamani. lol. umenichekesha sana. dah. ahsante.
 
Aisee...wenyewe tunachekelea kuona sokwe na simba kumbe ngozi! Wizi mtupu!
 
Hahahha jamani kazi kweli za shida dah yaani hahahah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kula salasini faza yaani hili jukwaa jamani dawa ya kuongeza miaka. Ingekuwa kwamba mimi ndiye nilikuwa kwenye banda la simba, huyo jamaa ningemwacha kwanza mpaka ashushe divi ndipo nimwambie oya chukua divi lako haraka tutakutilizwa sasa hivi, hahahaha
 
hahahahahahahaha Maisha bora kwa kila MTZ lolest .

cc Mzee Majoto
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom