Ajira: Natafuta kijana mkali wa kuchoma nyama zenye viungo vya kipemba, shawarma n.k

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,086
15,972
Wazee natafuta kijana, awe mzuri wa kuchoma nyama, kuku sekela, shawarma, viungo mbalimbali, urojo, kachumbari hatari na vikolombwezo vya harari, awe mtundu kwelikweli. Goli Liko Tabata, mwenye connection yoyote na mtu or vyovyote vile ani pm.
 
Utamfundisha au lazima awe anajua yy
 
Wazee natafuta kijana, awe mzuri wa kuchoma nyama, kuku sekela, shawarma, viungo mbalimbali, urojo, kachumbari hatari na vikolombwezo vya harari, awe mtundu kwelikweli. Goli Liko Tabata, mwenye connection yoyote na mtu or vyovyote vile ani pm.
Lazima awe dar es salaam au hata mkoani
 
Vp aliewahi kuchoma chips unaweza Fanya nae kazi?
Mhh unabid awe anajua in and outs za nyama choma,na viungo,kachumbari.vikolombwezo vyote vya kiarabu,mbwbwe zote za nyama choma,ngalau awe na idea ya kuchoma nyama,na awe anajua chips,sio mi chips imefyonza mafuta,au chips zile znivaga half way
 
Wazee natafuta kijana, awe mzuri wa kuchoma nyama, kuku sekela, shawarma, viungo mbalimbali, urojo, kachumbari hatari na vikolombwezo vya harari, awe mtundu kwelikweli. Goli Liko Tabata, mwenye connection yoyote na mtu or vyovyote vile ani pm.

Panda boti tua zanzibar kuna wapemba pale darajani beba tani yako waje kukutengenezea sekela na masala hapo plus juisi ya ukwaju na miwa..hutajuta halafu hawana shida kama utampa haki yake..ninae mmoja tunaenda sawa tu..kumbuka nimesema mpemba sio muunguja!!..waunguja ni sawa na hawa wamakonde wetu huku mbwembwe nyingi kazi zero
 
Sawa sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom