KERO Ajira mpya Wilaya ya Chamwino hatujalipwa pesa ya kujikimu

KERO Ajira mpya Wilaya ya Chamwino hatujalipwa pesa ya kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ajira Mpya hatujalipwa pesa ya kujikimu katika Wilaya ya Chamwino Dodoma, sisi ni Intake ya Mwezi Machi hadi June 2025.
 
Nendeni Ikulu chap tuu hapo, mpo eneo sahihi
 
Active Cookie hawa watu wa anonymous , hakuna mpango wa kuwafanya waweze kujibu maswali ya ziada kutoka kwa wadau?
 
Soma hiyo hapo
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom