Ajira mpya na changamoto za system

Ajira mpya na changamoto za system

Majinzi

Senior Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
147
Reaction score
203
Tangia tar 7 serikali kupitia tamisemi ilitangaza rasmi kifungua dirisha la kutuma maombi ya ajira kada ya Ualimu.

Lakini cha ajabu system yao imekuwa kizungumkuti, ukiingia inaload tu haifunguki

Na hatapale unapoivizia usiku ikifungua kuna vipengele vinakuwa havifunguki.

Je, hii changamoto tamisemi wanaijua au imewekwa na wao makusudi?

Hii ni siasa, serikali inacheza mziki wa lissu, hawana uwezo wa kuajiri kwa sasa, wanachofanya ni maigizo tu (comedy).
 
Mkuu hiyo ni "makusudically" na wala sio bahati mbaya
 
Hakuna ajira huko, yaani hii ni sawa na tangazo la ajira litolewe siku ya wajinga duniani
 
Mkuu hiyo ni "makusudically" na wala sio bahati mbaya
Duu huu mchezo wanaoucheza sio poa yaani nimekesha lakini wapi

Ikifungua inaleta mizengwe mingne mara details hazionekani shida tupu
 
Hapo imefunguka lakini particulars haizonekani
JPEG_20200911_081943_366002102.jpg
 
Yaani bado watu mna nia na huo uteacher?..acheni kafanye issue zingine

Kunicha n'tuvengee,Likaswa n'tulowe
 
Wale graduates wenzangu tusiokuwa na muda na huo upuuz tujuane..tunao-hustle kivyetu vyetu
 
Wale graduates wenzangu tusiokuwa na muda na huo upuuz tujuane..tunao-hustle kivyetu vyetu
Mkuu niko pamoja na Wewe, siutaki tena huo upuuzi, niliomba mara tatu bila mafanikio, nikaamua ku-hustle kivyangu. Sitaki tena kuwa mwalimu.
 
Mkuu niko pamoja na Wewe, siutaki tena huo upuuzi, niliomba mara tatu bila mafanikio, nikaamua ku-hustle kivyangu. Sitaki tena kuwa mwalimu.

Pamoja mkuu, mm sijawahi kuapply wala sijawahi kuwazia kuapply. Na sitegemei kuapply.
Pumbavu!!!
 
Hizi ajira zinatesa watu mitaani, internet cafe zimejaa na watu wanalalamika mtandao..hata Kama una issue nyingine za kufanya hayo maeneo inakuwa Kero.
 
Back
Top Bottom