KERO Ajira mpya Afya Makambako (TC 2025) hatujapewa Pesa ya Kujikimu

KERO Ajira mpya Afya Makambako (TC 2025) hatujapewa Pesa ya Kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ajira mpya Afya Makambako TC 2025 hatujapewa pesa ya kujikimu hadi Februari hii 2026, sasa na hao watu wa mikopo wanatusumbua sana.
 
Kwa sasa Hii ni mbinu mojawapo ya Utapeli wa Serikali ya CCM. Na kwa sababu hakuna mtu wa kuwawajibisha, hiyo hela hamtaipata milele
 
Back
Top Bottom