Wewe mshana jr naona haujipendi siku hizi. Kumbuka hii nchi ukiwa mkweli unanyofolewa kucha kwa pliers, jichunge sana mkuu. Si unaona hao omba omba wanavyoteseka? CCM huwa wanapenda watu kama hawa kuwadanganya na ndiyo maana katika makongamano yao huko vijijini wahudhuriaji wao ni vijana choka kama hawa na vikogwe wasio na meno, mshahara ugali wa bure na dagaa kauzu.