Ajira kwa waalimu wa chekechea

marry massawe

New Member
Jan 23, 2019
1
1
Hv jaman serikalini wameanzisha Elimu ya awali na waalimu waliosomea hzo fani hakuna kwa nn wasingewaajiri hata waliosoma private wawasaidie watoto jaman
 
Nilichogundua lengo lako hasa ni ajira na kusema kwamba walimu waliosomea elimu ya awali hawapo siyo kweli, hawa walimu wapo wengi tu tena wa kutosha wamejazana mtaani since 2017.Sjui huo utafiti wako ulifanyia wapi na kubaini kwamba hao walimu hawapo

Go to the field madam then come up with real data.
 
Wewe mwenyewe hujaleta data yoyote zaidi ya kutoa unsubstantiated generalization kwamba " ...wapo wengi tu na wamejazana mtaani.." wengi inamaanisha nini katika post yako? Wapo wengi, wapi? Umetumia vigezo gan kufikia conclusions? What are your sources? (Note: sitafuti ajira)
 
Back
Top Bottom