johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,778
- 145,706
Wenzio wanaapply wewe endelea kushangaa hapo Ufipa st!
Hahahaaaa........!Aisee Ngoja nianze mazoezi na kujikumbusha mambo ya JKT miaka ileee.Oljoro Arusha na Mgambo Kabuku Tanga.💣🔭
Ha haaa, kwamba wanajua kabisa yule ni mmatumbi, mi nauliza kituo cha kujisajili kipo wapi Kwa Africa au unaenda ubalozi , nataka nijoin sema mazoez ya kijeda ndo chenga , even to fire a rifle sijui... kwa rangi zetu hizi nyeusi huko Eastern Europe ni very easy to be spotted.
Ndugu unakaa dunia gani? Jambo limetangazwa kwa uwazi kabisa. Ndo nyie mliamini Russia ni mbabe kumbe anapumulia mashine.
... kwa rangi zetu hizi nyeusi huko Eastern Europe ni very easy to be spotted.
... kwa rangi zetu hizi nyeusi huko Eastern Europe ni very easy to be spotted.
Jo inayo ajira wewe🏃Kwa wale waliopita jeshini na wanatamani kupata ajira za kijeshi na siyo za Knight Support basi Urusi imetangaza ajira kibao.
Watakaopigana mstari wa mbele malipo ni $7000 na unapewa $50,000 za kuachia familia unapoondoka.
Watakaopigana mstari wa nyuma kama wasaidizi wa wapiganaji malipo ni $3500 na utapewa $50,000 za kuachia familia.
Tangazo ni kwa raia wa nchi zote wenye uhaba wa ajira.
Source: Al jazeera/ BBC
Maendeleo hayana vyama!
Kuna kuwa na team leader.Ukienda kwani lazma upambane?
unatulia zako sehemu tu
Kuna kuwa na team leader.