moshi mkuu
Member
- May 14, 2024
- 36
- 26
Kama kuna mtu kwake portal ipo vzr atujuze wakuu maan kun wengin hatuelew ni device zetu au la maan walisema wataweka portal sawa sasa wengn hadi sasa tumestuck sehem mojaKaka hamna hiyo sehem, vitu vya kuatach ni vyeti vya taaluma, barua ya maombi, CV kwa wataalam (Kuanzia cerificate mpaka degree holders ), passport size na Cheti cha jkt ambacho ni optional kwa mwenye nacho
Walitoa tamko la kurekebisha portal??Kama kuna mtu kwake portal ipo vzr atujuze wakuu maan kun wengin hatuelew ni device zetu au la maan walisema wataweka portal sawa sasa wengn hadi sasa tumestuck sehem moja
Ee walisema wataweka portal sawaWalitoa tamko la kurekebisha portal??
Kaka mimi nilibahatisha siku ya pili lakin baada ya hapo kuna jamaa nilikuwa nimfanyie application mpaka leo mtandao haujakubali tena , japo simu ni ile ile niliotumia mwanzoKama kuna mtu kwake portal ipo vzr atujuze wakuu maan kun wengin hatuelew ni device zetu au la maan walisema wataweka portal sawa sasa wengn hadi sasa tumestuck sehem moja
Mm natumia laptop lKn leo ni wiki nimekwama kwenye kuattach cheti cha 4m6 mkuuWadau ivi device zinaweza kuwa sababu pia?? Labda tutumie tablet au Laptop?
Angalia barua yako iwe chini ya 700kb...Poor Brain kwenye kuapload barua inakuja failed to proccess application. Msaada please nakwama wapi?
Passport nikiupload haionikani ila haionyeshi pia kama imefeliAngalia barua yako iwe chini ya 700kb...
Then nenda kaangalie kwa profile yako kuna kitu ujaupdate nenda karudie kupitia kipi akijawa sawa kule