tuna ndege chache na tulishapeleka vijana kusoma...natania tuNaona walimu ,wauguzi nk serikali inasahau wengine sisi ni marubani?
tuna ndege chache na tulishapeleka vijana kusoma...natania tuNaona walimu ,wauguzi nk serikali inasahau wengine sisi ni marubani?
Mbona unachekaHahahaaaa
wewe tutakupa bomba diaNaona walimu ,wauguzi nk serikali inasahau wengine sisi ni marubani?
Kuwa mvumilivu kidoooogo mkuu dreamliner inaingia 2018 ww utapata nafasi ya upendeleoNaona walimu ,wauguzi nk serikali inasahau wengine sisi ni marubani?
Nacheka kwahuzuniMbona unacheka
Mimi hata siimani hiyo habari mpaka nione zimetolewa.
Mara ngapi wametangaza hivo lakini hakuna lolote.
Kwanini unahuzunikaNacheka kwahuzuni
Ajira hakunaKwanini unahuzunika
Tanzania ni ya magufuli tokea lini???Tanzania ya magufuli alisema anaajiri kwa umakini zaidi
We kweli umeongeaMimi hata siimani hiyo habari mpaka nione zimetolewa.
Mara ngapi wametangaza hivo lakini hakuna lolote.
Ajira za ufugaji wa kuku na kilimo cha matikiti,hahah aisee safi sana.mpate ajira mmesugua benchi sana kitaa KIZURI MMEJIFUNZA SIO KILA SIKU JUMAMOSI njooni mjiajiri