Ajinyonga baada ya mume wake kumnyima nauli ya kwenda Singida

Mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la Jasmini Hamisi, mkazi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kunywa kimiminika kinachohisiwa kuwa sumu na baadaye kukutwa akiwa amejinyonga ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe.

Tukio hilo limetokea Oktoba 18, 2026, siku moja baada ya taarifa kueleza kuwa Jasmini alimwomba mumewe, Hamisi Maulidi, nauli ya kwenda mkoani Singida kuwasalimia wazazi wake, lakini akaambiwa asubiri hadi hali ya kifedha itakapokuwa nzuri.

Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa kuhusu tukio hilo, Hamisi aliondoka nyumbani asubuhi kwenda kazini, Aliporejea na kugonga mlango bila kupata majibu, alimwita jirani kumsaidia. Jirani huyo alipozunguka nyuma ya nyumba na kuchungulia kupitia dirishani, alimwona Jasmini akiwa amejinyonga kwa kutumia mtandio aliokuwa ameufunga kwenye chuma cha kutundikia pazia.

Mtoto mdogo aliingizwa ndani kupitia dirishani ili kufungua mlango. Walipoingia, walimkuta Jasmini akiwa bado anapumua kwa shida na kufanya jitihada za kumpeleka hospitalini, hata hivyo, alifariki dunia. Majirani walieleza kuwa walikata mtandio huo kwa haraka wakijaribu kumuokoa.

Aidha, inadaiwa kuwa ndani ya nyumba hiyo kulionekana kikombe chenye kimiminika kisichojulikana, huku soda ikiwa pembeni. Hata hivyo, haijathibitishwa iwapo kimiminika hicho kilikuwa sumu.

Mpaka sasa, chanzo rasmi cha kifo cha Jasmini hakijafahamika, na hakuna uthibitisho kuwa ombi la nauli ya kwenda Singida lilikuwa na uhusiano na tukio hilo. Maelezo haya tunahitaji kuthibitisha na mamlaka husika kabla ya kuhitimisha mazingira ya kifo chake.

Chanzo: Mwendokasi Tv

Omg she was so young! 😢

Ila wanaume muwe mnawatreat wanawake kama navyo wa treat mama zenu, kisa umemlipia mahali sio kigezo cha kumwendesha na kumnyanyasa kisaikolojia.

Ona sasa, a wonderful soul is all gone just because kuna jamaa lina majibu mabaya na narcissist traits.

Na wadada, Kamwe usikubali kuolewa na mtu kisa anaonekana kukubalika kwa muktadha wa kujiweka kiuchumi, ili hali hakuna emotional connection baina yenu, ndo maana matukio haya ishi.

Mwanamke jua thamani yako, kila siku naimba wimbo ule ule

binti kiziwi ephen_
 
Alipotaja dini umepungukiwa nini
Wewe mimi kuuliza kimekuwasha nini?
Au wewe umepungukiwa nini kwa mimi kuuliza?
Nimekuuliza wewe au ni kiherehere chako tu cha kutaka kujibizana na wanaume ili uone raha? Binti jiangalie,

Ungekua na akili timamu ungeelewa kua kutaja kabila la mtu au dini ya mtu unapomuongelea kwenye jambo ambalo halihusiki na dini yake wala kabila lake ni issue ya discrimination.
 
Mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la Jasmini Hamisi, mkazi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kunywa kimiminika kinachohisiwa kuwa sumu na baadaye kukutwa akiwa amejinyonga ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe.

Tukio hilo limetokea Oktoba 18, 2026, siku moja baada ya taarifa kueleza kuwa Jasmini alimwomba mumewe, Hamisi Maulidi, nauli ya kwenda mkoani Singida kuwasalimia wazazi wake, lakini akaambiwa asubiri hadi hali ya kifedha itakapokuwa nzuri.

Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa kuhusu tukio hilo, Hamisi aliondoka nyumbani asubuhi kwenda kazini, Aliporejea na kugonga mlango bila kupata majibu, alimwita jirani kumsaidia. Jirani huyo alipozunguka nyuma ya nyumba na kuchungulia kupitia dirishani, alimwona Jasmini akiwa amejinyonga kwa kutumia mtandio aliokuwa ameufunga kwenye chuma cha kutundikia pazia.

Mtoto mdogo aliingizwa ndani kupitia dirishani ili kufungua mlango. Walipoingia, walimkuta Jasmini akiwa bado anapumua kwa shida na kufanya jitihada za kumpeleka hospitalini, hata hivyo, alifariki dunia. Majirani walieleza kuwa walikata mtandio huo kwa haraka wakijaribu kumuokoa.

Aidha, inadaiwa kuwa ndani ya nyumba hiyo kulionekana kikombe chenye kimiminika kisichojulikana, huku soda ikiwa pembeni. Hata hivyo, haijathibitishwa iwapo kimiminika hicho kilikuwa sumu.

Mpaka sasa, chanzo rasmi cha kifo cha Jasmini hakijafahamika, na hakuna uthibitisho kuwa ombi la nauli ya kwenda Singida lilikuwa na uhusiano na tukio hilo. Maelezo haya tunahitaji kuthibitisha na mamlaka husika kabla ya kuhitimisha mazingira ya kifo chake.

Chanzo: Mwendokasi Tv

Dawa 15 zimeongezwa kutibu matatizo ya afya ya akili.
 
Wewe mimi kuuliza kimekuwasha nini?
Au wewe umepungukiwa nini kwa mimi kuuliza?
Nimekuuliza wewe au nikerehere chako tu cha kutaka kujibizana na wanaume ili uone raha? Binti jiangalie,

Ungekua na akili timamu ungeelewa kua kutaja kabila la mtu au dini ya mtu unapomuongelea kwenye jambo ambalo halihusiki na dini yake wala kabila lake ni issue ya discrimination.

Huna lolote zaidi ya udini .mnaendekeza udini
 
Mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la Jasmini Hamisi, mkazi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kunywa kimiminika kinachohisiwa kuwa sumu na baadaye kukutwa akiwa amejinyonga ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe.
Ni Arusha tena!
Kuna mdau humu alisema Arusha inahitaji maombi
 
Mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la Jasmini Hamisi, mkazi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kunywa kimiminika kinachohisiwa kuwa sumu na baadaye kukutwa akiwa amejinyonga ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe.

Tukio hilo limetokea Oktoba 18, 2026, siku moja baada ya taarifa kueleza kuwa Jasmini alimwomba mumewe, Hamisi Maulidi, nauli ya kwenda mkoani Singida kuwasalimia wazazi wake, lakini akaambiwa asubiri hadi hali ya kifedha itakapokuwa nzuri.

Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa kuhusu tukio hilo, Hamisi aliondoka nyumbani asubuhi kwenda kazini, Aliporejea na kugonga mlango bila kupata majibu, alimwita jirani kumsaidia. Jirani huyo alipozunguka nyuma ya nyumba na kuchungulia kupitia dirishani, alimwona Jasmini akiwa amejinyonga kwa kutumia mtandio aliokuwa ameufunga kwenye chuma cha kutundikia pazia.

Mtoto mdogo aliingizwa ndani kupitia dirishani ili kufungua mlango. Walipoingia, walimkuta Jasmini akiwa bado anapumua kwa shida na kufanya jitihada za kumpeleka hospitalini, hata hivyo, alifariki dunia. Majirani walieleza kuwa walikata mtandio huo kwa haraka wakijaribu kumuokoa.

Aidha, inadaiwa kuwa ndani ya nyumba hiyo kulionekana kikombe chenye kimiminika kisichojulikana, huku soda ikiwa pembeni. Hata hivyo, haijathibitishwa iwapo kimiminika hicho kilikuwa sumu.

Mpaka sasa, chanzo rasmi cha kifo cha Jasmini hakijafahamika, na hakuna uthibitisho kuwa ombi la nauli ya kwenda Singida lilikuwa na uhusiano na tukio hilo. Maelezo haya tunahitaji kuthibitisha na mamlaka husika kabla ya kuhitimisha mazingira ya kifo chake.

Chanzo: Mwendokasi Tv

Mwanamke anaonekana bado mdogo sana kuishi kinyumba na ndiyo maana imekuwa rahisi yeye kufanya alichokifanya maana akili haijakomaa bado.

Ndugu zetu wa Upande wa pili katika imani haya mambo ya kuoa watoto wadogo mtayaacha lini?
 
Mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la Jasmini Hamisi, mkazi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kunywa kimiminika kinachohisiwa kuwa sumu na baadaye kukutwa akiwa amejinyonga ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe.

Jirani huyo alipozunguka nyuma ya nyumba na kuchungulia kupitia dirishani, alimwona Jasmini akiwa amejinyonga kwa kutumia mtandio aliokuwa ameufunga kwenye chuma cha kutundikia pazia.

Kipi ni kipi sumu au mtandio
 
Back
Top Bottom