Maskini wee amekata utamuu..amejifanyia ukatili wa hali ya juu sana.ana roho ngunu sana Juma Juma.ana akili fupi na mbaya sana Juma Juma.
Akipona afatiliwe nyendo zake huenda akawa amejihusisha kwenye matukio mabaya yasiyofahamika or kuwa nae aware akishapona anaeza jiunga hata vikundi vya kigaidi huyo.
Japo sheria haitomwacha salama kwa kosa la kujaribu kujiua.