Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,788
- 165,483
Ameeen!Sipati picha Lowassa angeshinda .
Rostam angekuwa tajiri namba moja wa Afrika mwakani maana kila tenda kubwa ya serikali angepewa yeye.
Mwenyezi Mungu tunakushukuru kwa kutuepusha na janga kuu.
sipati picha lowassa angeshinda .
Rostam angekuwa tajiri namba moja wa afrika mwakani maana kila tenda kubwa ya serikali angepewa yeye.
Mwenyezi mungu tunakushukuru kwa kutuepusha na janga kuu.
Sipati picha Lowassa angeshinda .
Rostam angekuwa tajiri namba moja wa Afrika mwakani maana kila tenda kubwa ya serikali angepewa yeye.
Mwenyezi Mungu tunakushukuru kwa kutuepusha na janga kuu.
ccm wanaboa, sisi tunapiga kura wao kazi yao ni kuziiba
Kuwakomesha ni kukata vidole, hakuna namna.Ccm wanaboa, sisi tunapiga kura wao kazi yao ni kuziiba
Sipati picha Lowassa angeshinda .
Rostam angekuwa tajiri namba moja wa Afrika mwakani maana kila tenda kubwa ya serikali angepewa yeye.
Mwenyezi Mungu tunakushukuru kwa kutuepusha na janga kuu.
Haaaaa!!! Ni bodaboda, mama lishe au machinga? Alichanganya viroba na nini Mungu wangu!! Apimwe akili huyo.