Ajikata kidole baada ya Lowassa kukosa urais

Ajikata kidole baada ya Lowassa kukosa urais

Hamna jipya hapo, angejinyonga kabisa kama wafanyavyo baadhi ya mashabiki wa timu za mpira.
 
Akapimwe akili kwani kama Lowassa angeshinda angemsaidia nn. Ujinga mwingine unapitiliza. Upumbavu ktk ubora wake
 
😡😡😡 vipi kaumia sana? Mpelekeni hospital atalipiwa kama hana Bima ya matibabu. :sly::sly::sly:
 
kama angeshinda basi ujue mpaka sasa watanzania tungekuwa tunashangilia ushindi. Wenye boda boda , mama lishe, wasukuma maguta n.k ni furaha tupu. Subir maalim seif apewe utaona furaha na ndelemo za kumuondoa mkoloni mweusi.

Ni mawazo tu
Seif hawezi kushinda urais zanzibar. Tatizo lake ni kuungana na mamvi na siasa za chuki za kuchukia watumwa.
 
Back
Top Bottom