lumbi lumbi
Senior Member
- May 30, 2017
- 173
- 160
[emoji23][emoji23]jamaa nomaaWa matopeni hapo roho kwatu,, wanajiuliza hivi huyu ndio alikuwa mchezaji wetu?
anawapa hofu wa matopeni[emoji23][emoji23]jamaa nomaa
anawapa hofu wa matopeni
Tarehe 28 sio mbali..jumamosi tu hii hapa tusubiriAnajipa hofu mwenyewe kwani mpira huchezwa uwanjani na si magazetini
Tarehe 28 sio mbali..jumamosi tu hii hapa tusubiri
kweli kabisa mkuuHayo ndiyo maneno kuntu, matokeo ya mpira hupatika baada ya dakika tisini uwanjani.
Anajua huyu mtu...Ameamua sasa!Haka kajamaa kameanza kuota mapembe sasa