Mtachonga sana mwaka huu mtamwagika mapovu sanaa mwaka huu..
SAFI SANA MKUUVyakula vya uswahilini vina ladha yake buana, wakati mwingine ukikomaa kulinda hadhi yako utamiss vingi! Hebu assume nishindwe kununua mihogo kwa mama Hamza na kachumbari ya kukaangwa kisa u'star, haiwezekani aisee, nitanunua tu!