The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,383
- 2,586
Hata Mimi nimeliona hili.Magu asicheze na hii kitu, Jeshi la polisi na usalama wa taifa wana ukomo wa kuisaidia CCM kuwazuia upinzani ila sio katika kuwakandamiza wanachi.
Kukurupuka si sifa nzuri kwa mchangiaji yeyote, jiepushe na ukurupukaji unakushushia heshima. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi ni haki yao siyo hisani. Na kama haya uliyosema ndio msimamo wa CCM basi jiandaeni kwa matatizo labda mtumie mabavu mwakani. Kikwete alidharau kura za watumishi mwaka 2009 na akafikia kusema "Kwanza watumishi hamzidi 350,000", yaliyompata 2010 pamoja na uchakachuaji wa kura anayajuà vizuri.Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?
Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?
Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?
Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali
Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Kwa hiyo CDM ndo imekataza watumishi wasiongezewe mishahara?Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?
Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?
Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?
Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali
Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
we popoma mbona kila mahali unadandia, afadhali ungelikuwa unatoa hoja ya maana... JF inadhalilishwa na nyie mapopoma!Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?
Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?
Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?
Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali
Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Kukurupuka si sifa nzuri kwa mchangiaji yeyote, jiepushe na ukurupukaji unakushushia heshima. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi ni haki yao siyo hisani. Na kama haya uliyosema ndio msimamo wa CCM basi jiandaeni kwa matatizo labda mtumie mabavu mwakani. Kikwete alidharau kura za watumishi mwaka 2009 na akafikia kusema "Kwanza watumishi hamzidi 350,000", yaliyompata 2010 pamoja na uchakachuaji wa kura anayajuà vizuri.
Tumia ubongo wako kidogo kufikiri kabla ya kuropoka.Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?
Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?
Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?
Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali
Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Tumia ubongo wako kidogo kufikiri kabla ya kuropoka.
Mimì ni CCM kama wewe,ongezeko la mishahara si ombi,si swala la chama au mtu binafsi,lipo kisheria.
Hujaona habari ya CCM kuhusu mafao kwenye ripoti ya CAG,unafikiri ni ongezeko la mshahara limesababisha yote hayo au ni hela zimeliwa?
Wakati anaomba urais kwa tupushapu twa JKT kuna sehemu alisema ataharibu uchumi? Nigger please, tumia tu akili twako vema.Ni takwa la kisheria kuongeza mishahara na kuboresha maslahi ya watumishi.Siyo ombi.Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?
Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?
Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?
Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali
Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Mpumbavu mmoja ww, akili ndogo kama jongooo, jinga sana ww, wakati mwingine ukiwa mbele za watu uache kuropoka ujinga wako, kama umetumwa mwambie huyo mumeo aliyekutuma kuwa watu hawataki kuona ujingaAcheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?
Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?
Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?
Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali
Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Umeelewa mada lkn?Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?
Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?
Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?
Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali
Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Hii ishu ilipoanza 2016 watu walifikiria utani. Hii issue ya kutojali kabisa maslah ya watumishi wa umma ilianza kwa kupunguza wenye mishahara mikubwa.watu wasijue kuwa kumbe ndio ulikua mwisho wa kuitumia standing order ya serikali. Mshahara ukipanda uwezo wa kukopa bank unaongezeka hivo walau unaweza fanya mirad mingi zaid ya maana na serikali ikapata kodi. Hii kitu ina madhara kwa serikali yenyewe. Ni kama serikali inajifunga kamba na kujifukarisha kuwa fukara. Kwa kutopandisha mishahara mapato ya nchi lazima yashuke na yataendelea kushuka kadri ambavyo hapandishi. Mwisho wake atashindwa kulipa mishahara mwishoni mwa mwezi. Hili ni suala la muda subirini.Nadhani kuna mahali watu hawajafikiri vizuri. Hii ajenda ya maslahi kwa watumishi wa uma ,hasa ogezeko la mishahara na kupanda vyeo si ajenda ya kupuuza hata kidogo.
Kwa maoni yangu hakuna kitu hatari kama hiki ,kwa sababu hili linagusa maisha ya watu moja kwa moja. Huu ni mkate wa kula siku na binadamu akianza kukosa mkate ,ubinadamu huanza kumtoka na unyama huingia kwa kasi ya kutisha.
Nimezungumza na watumishi wa kada mbalimbali mioyo yao imevimba kwa hasira. Kichwani wamebeba furushi kubwa la manun'guniko.
Nataka nishauri ,tena natoa ushauri huu kwa moyo safi kabisa. Swala hili kama litaendelea kupuuzwa tutakuwa tunatengeneza hatari kubwa sana. Sitaki yatokee mabaya. Kama kuna watu wanawashauri vibaya viongozi ,watu hao waache Mara moja.
Mod nakuomba usiunganishe Uzi huu.
Acha tu kazi mkuu.Kuna wengine dhulma zilizidi tukaona isiwe taabu bora kujiondokea tu.Nadhani kuna mahali watu hawajafikiri vizuri. Hii ajenda ya maslahi kwa watumishi wa uma ,hasa ogezeko la mishahara na kupanda vyeo si ajenda ya kupuuza hata kidogo.