Ajari ya gari yauwa watu 7.!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajari ya gari yauwa watu 7.!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chitemo, Aug 30, 2011.

 1. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jana kumetokea na ajali ya gari aina ya Randrover inayofanya safari zake tokea Mbinga kwenda mji mdogo wa Mbamba-bay hapa mkoani Ruvuma ambapo gari hiyo iliyokuwa inaendeshwa kwa mwendo kasi ilitumbuki kwenye bonde na kuwaka moto ambapo watu saba wameungua moto na kubaki majivu na kuacha majeruhi wengine wa5. Miili ya marehemu bado haijatambuliwa kutokana na kuungua vibaya lakini wanasemekana ni wafanyabĂ­ashara wa maeneo hayo, na majeruhi wamelazwa Mbuyura hospital mjini Mbinga.
  Source me mwenyewe..!

  nawakilisha kwenu....!!?
   
 2. HekimaMoyoni

  HekimaMoyoni Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RIP.
  Majeruhi, ugueni pole. Mungu awafariji na kuwaponya.
   
Loading...