watu wazembe sana eneo hilo wanatembea as if wako bed room kwao....mi napasua mtu tu kama anavuka bila utaratibu
Mkuu inapaswa kuwa makini na kauli kama hizi. Kuna wenzio waligawa sanda...haikupita muda mrefu mauti ikawakuta. Kwenye ajali hamna utaratibu kiongozi...Angalia usije kupasuliwa wewe.watu wazembe sana eneo hilo wanatembea as if wako bed room kwao....mi napasua mtu tu kama anavuka bila utaratibu
mpendwa,
sikuungi mkono unaposema kuwa "mi napasua mtu tu kama anavuka bila utaratibu" lakini nakuunga mkono kuwa watu wamezidi uzembe! na madereva nao wamezidi bangi! pale kuna njia nne, inakuwaje mtu kabla hajavuka asiangaklie kwanza magari yanakotokea? mbona huwa kuna foleni kubwa sana pale? na akiona magari yameruhusiwa anashindwa vipi kusubiri hizo dk chache hadi yasimamishwe tena?
jamani mamabo mengine yanasikitisha sana na papo hapo yanatia uchungu wa hasira! tuweni waangalifu wapendwa, madereva wetu ni walevi wa bangi na matatizo ya maisha na UDHAIFU WA SERIKALI.
hata hivyo nakiri, ajali haina kinga, ila uzembe una kinga.
tupendane na kuombeana daima
mbarikiwe sana wapendwa
Glory to God!
Ndugu yangu km umeweza kupost hapa JF kwa sinu ya mkononi basi fuata thread hiihii ya Ajari ui-highlight neno (iwe ndani ya kuuvuli cheusi halafu i-click)Replay itatokea ktk kibox maelezo ya yoyote uliyoya replay sasa yafute / delete andika yako ukifika mwisho ruka kiBox utakuta neno attachment na Managment attachment ya click mojawapo utaingia ktk memory ya cm yako hapo itafute hadi kwenye Device ukiiclick utahamia ktk Upload ikishajaa utaona neno Done click utarudi ktk box una send /submit replay km kawaidaAngalizo ni wenye sim za mkononi tu na lazima waende kwenye JF Mobile kwani Desktop angalau una uzoefuJamani ndo raha ya kuichangia JF wote tutakuwa waandishi /wapiga picha bila kuchujwa hata pori la wapi na ndo maana ALJAZEERA Ana-win taarifa za habari wakishachujaKaka nami nilikuwa kwenye gari nimeshuhudia yule dada japo c mkubwa sana akipigwa na gari.CHA AJABU YAKE BAADA YA DADA KUGONGWA NA GARI, WAMETOKEA VIJANA WATATU WAKACHUKUA MKOBA WAKE NA KUCHUKUA POCHI NA SIMU, CHA AJABU WAKAANZA KUNG'ANG'ANIANA NA MMOJA WAO KUFANIKIWA KUCHUKUA SIMU NA POCHI.Mama mmoja alipojaribu kupiga kelele wakamtishia.NINAPICHA ZA MKOBA NA HAO VIJANA WAKING'ANG'ANIANA MKOBA NASHINDWA KU-UPLOAD KWENYE SIMU.