Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,029
- 22,567
Inawezekana wameshafanikiwa mara kadhaa hivyo wakaona ni kawaidahahahahah,
hawa wenye kupitisha gari kwenye daraja la mbao walijitakia,
lakini wale watu waliodondoka daraja la mbao pole yao!
ndio hivyo tena washapata ajali,Inawezekana wameshafanikiwa mara kadhaa hivyo wakaona ni kawaida