The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,872
- 117,014
Hasa kama masaa yote tunawaza mambo ya kichawi na kishirikina na kupost thread zinazosapoti mambo hayo ambayo yanasomwa na rika la umri tofauti tofauti humu JF ndio safari inazidi kua ndefu zaidi!Bado tuna safari ndefu sana kuelekea mapinduzi ya viwanda sayansi na teknolojia
Umenikumbusha yule bibi sijui bado yupo? (hai)Kuna mambo mengi sana yanayohusu gas ya Mtwara na madhira yake hayasemwi.Hii ilikuwa ni Mtwara wakati wa vurugu za gas.Kifaru cha Jeshi kiliingia kwenye nyumba ya mtu na kubomoa sehemu ya nyumba.
Licha ya kuwa njia ni kubwa lkn dereva alisema alikuwa anaona barabara nyembamba kama kamba kiasi akawa haoni mbele.
Watu wa kusini hatari sana,Polisi wengi wamekufa sana huko kusini kimiujiza,Wanajeshi pia wamepoteza,mpaka Dangote akaja na "Team ya ufundi" toka Nigeria.Kusini ni hatari sana
Yule wa Msimbati?Walimkimbizia Msumbiji....Kwa sasa anaongoza mashambulizi toka NsumbijiUmenikumbusha yule bibi sijui bado yupo? (hai)
Tatizo hata safari yenyewe hatujaianzaBado tuna safari ndefu sana kuelekea mapinduzi ya viwanda sayansi na teknolojia
Hahahahaaa kwa hiyo wameamua kuvunja ukuta
Breki zinapofeli....