Ni kweli kabisa, kundi hili ambalo ndiyo kundi kubwa, linatembelewa na viongozi wakati wa uchaguzi, wanapelekewa khanga, vitenge, kofia, na T-shirt. Wakiugua ugonjwa wowote zahati ina paracetamol. Watoto wao wataishi katika maisha hayo hayo, kwababu St Kayumba ina upungufu mkubwa wa walimu.
[size]Kuna kitu nakiwaza mfano hela za escro+richmond+iptl etc hela zote zingetengeneza nyumba ngapi za wananchi vijijini wenye mfano wa nyumba hiyo?[/size]