Abra One JF-Expert Member Jun 11, 2013 916 374 Feb 19, 2016 #2 Hahahahahaaa nimzcheka sana jamaa, ama hakika inabid tucheke, aliingiaje uko?
GREGO JF-Expert Member Apr 3, 2014 4,279 2,913 Feb 19, 2016 #4 Hii itakua imetoke ndotoni akapigwa picha na waliokua nao
Thinker96 JF-Expert Member Jan 15, 2011 311 66 Feb 19, 2016 #5 Kaporomokewa na kifusi. Katika njia aliyokuwa akipita.
longi mapexa JF-Expert Member Jul 18, 2015 3,205 4,065 Feb 19, 2016 #6 kwa mara ya kwanza nashuhudia tindiga la mawe na michanga yan anazama taratibu
Lusajo11 JF-Expert Member Dec 13, 2014 1,887 1,962 Feb 20, 2016 #8 Huko shimoni aliko sijui network ipo!!??