mkuu elezea kinagaubaga ni ajali gani iliyotokea maana taarifa kama haijakamilikaMtu mmoja afariki chalinze
Aisee, asante kwa taarifa, pole kwa wote waliokutwa na hilo baaBinti wa miaka 9 amefariki baada ya bus la delux kupinduka likitaka kupita malori na kushindwa kumudu gari likalala mtaroni. Dereva amekimbia na kondakta wake. Bus linatokea iringa kwenda dar
Ni basi kampuni ya delux lenye safari zake mafinga-dar MTU mmoja ameripotiwa kufariki
Bus la delux lilitaka kupita malori na likakutana uso kwa uso na lori jingine ikabidi kupeleka bus pemben ndipo likalala kwenye mtaro. Kwa mujibu wa kaim kamanda wa pwani bint mmoja amefariki papo hapo na majeruhi wamepelekwa tumbi. Chanzo itv