Ajali ya simba UKAWA Morogoro katika picha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,546
Reaction score
830,111
1428080886885.jpg 1428080908918.jpg 1428080938936.jpg
 
Simba wanavyopenda ulozi watakuwa wamewatoa kafara mashabiki wao...
 
Kumbe na wewe ni miongoni mwa wajinga nilikuwa nakuona wa maana kweli.unaleta umaviumav wakat wenzako wanalia
 
Elimi ya kwanza toa mawazo ya kishirikina

Mkuu hujawahi kuona Simba wakifanya ulozi katika mechi zao?

Mwezi uliopita kama si ule mwingine alichinjwa mbuzi mzima mzima pale Jamhuri Moro...

Muda si mrefu wakarudia tena huko Shinyanga...hiyo ni mifano michache ambayo inajulikana
 
Ulishuhudia mkuu.na hujui approach on mob affecting psychology especially in such games.when shit hits the fan kauli hiz zinatoka sana
 
Picha zipo mitandaoni...na waandishi wa habari wamendika kwa mapana na marefu
 
Ushirikina upo ktk soka,ishu ya kuamini au kutokuamini in jambo jingine, tuulize tuliokua tunacheza ndondo magomeni,suna,kinondoni,jangwani nk miaka 1995-2005,RIP simba fans.
 
Chandimu mabibo mwisho external ubungo sinza na kwingineko
 
Poleni wana simba wote kwa msiba huo japo Mimi ni Yanga Wa kutupwa na ili msiba uende vizuri nawaombea mshinde game yenu ya Leo
 
Pole iwafikie wote waliopatwa na majeraha, waliovunjika na kama wapo waliopoteza maisha pole iwafikie familia zao.

Sote tusafarini, tunachopishana ni wakti tu.

Inna Lilah Wainna Ilayhi Raajiuun
 
Back
Top Bottom