Ajali ya ndege ya atc ni ufisadi uliopitiliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya ndege ya atc ni ufisadi uliopitiliza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by massai, Apr 9, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Lazima kuna ufisadi katika ununuzi wa hizo ndege,walitumia utaratibu gani na walishauriana na nani?walienda kununua au kukodisha lazima walipenyezewa kitu kidogo,ndio hii nchi ni yakitu kidogo hata mkuu wa kaya alisha hongwa suti,kwanini wasimamizi wake wasile rushwa?ifanyike uchunguzi chanzo cha ajali ni nini,japo huwa hii serekali huwa haina tabia ya kutoa taarifa ya uchunguzi wa tume zinazoundwa.watanzania kweli maisha yetu yapo rehani,yapo mikononi mwa baba mwanaasha na mawaziri wake.tuchue hatua jamani lasi hivyo tutaangania kama nzige washambuliwavyo na kweleakwelea.
   
 2. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Nikusaidie akuna ununuzi wowote walipewa bure na wachina kama uko seriklini n ukaona malipo ni pm tule kazi
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Acha zidondoke zote,waipe precision air malipo wapeperushe nembo coz ni njia ya marketing kwani wao imewashinda.
   
 4. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Precisionair kwa sasa imekuwa national carrier. Ndio inayopeperusha bendera yetu nje ya mipaka yetu na ni kampuni ya kizalendo ambayo imeonyesha mipango thabiti na inyosimamia vyema mipango yake ya maendeleo,inakua vyema pamoja na changamoto zote za kiuchumi kidunia, serikali inapaswa kuiunga mkono kwa kununua hisa nyingi na kuwa mmiliki mmojawapo wa kampuni hiyo, iachane na ishu ya atcl.
  Precisionair ikiungana na serikali inaweza kabisa kushindana na mashirika makubwa ya africa katika usafiri wa anga na kuifanya dar kuwa hub inayotawaliwa na sisiwenyewe.

  Ni mtazamo wangu.
   
 5. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Member of staff nini mkuu...:)
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280

  Kwa aina ya viongozi(wanaoamini mapepo)tulio nao,HAKIKA UTABAKI KUWA MTIZAMO WAKO.
   
 7. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kwanini rafiki? Hapana mimi si staff wala sitegemei kuwa, bali naongelea facts.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkuu kevin Mugabe yupo hoi hospitalini.
   
 9. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Naujua uwanja wa kigoma, naijua ndege iliyodondoka, Tarehe 6 niliitumia.
  1. Uwanja wa kigoma runing way yake ni fupi sana.
  2. Kama mvua itakua ilinyesha kwa kiwango kikubwa basi itakua ilimaliza uwanja kabla haijafikia speed ya kupaa kwa sababu ya tope.


  Naishauri serikali ya Baba Mwanahawa, itkeleze ahadi zake za kuboresha viwanja vya ndege.

  Iongeze ndege zaidi, kwani abilia walio nusulika kufa nasikia watalala kigoma mpaka watakapo tumiwa ndege nyingine sijui itatoka wapi,.
   
 10. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Watanganyika wenzangu

  tusiwe ni watu wa kulalamika kila kukicha
  ni kweli hili shirika limehujumiwa tangu Mkapa na genge lake wawazawadie wasouth

  lakini ni vema tukatambua kwa sasa kweli wanajitahidi na kilichotokea leo ni ajali kama ajali nyingine
  Mnatambua kwa sasa mvua zinanyesha na hali halisi ya viwanja vyetu mnavijua hususani kigoma

  kilichotokea leo sio ubovu wa ndege, wala uzembe wa marubani ni mvua ilisababisha tope hako ka ndege kakakosa ile kasi inayotakikana ili kiweze kupaa na hakuna lingine

  Tukumbuke tusipobadilika tutakuwa ni taifa la walalamishi tu, itafika mahali sasa mvua isinyeshe muaze kuilaumu serekali

  kwa sasa uongozi wa ATC unajitahidi na naamini wasipoingiliwa na wanasiasa
  watafanya mambo makubwa saana ndani ya muda mfupi, tuwape muda na kuwaunga mkono
   
 11. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hapa kuna dalili ya human factor, kama uwanja ni mfupi baada ya mvua kunyesha ilikuwa rubani arushe ndege kwa short and soft field take off
   
 12. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Umeshaambiwa tatizo ni utelezi uwanjani. Je hapa ufisadi ni wa aye Tanzia au mamlaka ya viwanja vya ndege? Hakuna haja ya kulalamika wakati kila kitu Tanzania kimeharibika. Nenda kwenye makampuni ya simu uone yanavyowatapeli wadanganyika. Nenda ikulu uone uoza unaoendeshwa pale. Kimsingi kama mmeamua kuhoji basi hojini kila kitu vinginevyo mshaliwa bila kujijua zamani gani.
   
Loading...