😅😅 jiulize pia kwanini hakukimbilia policeHuyo mbwa afungwe yeye na boda boda wake
Polisi walikuwepo hapo. Nnachojiuliza huyo bodaboda ni mpumbavu kiasi gan😅😅 jiulize pia kwanini hakukimbilia police
Hakuna matuta kuna alama ya mwingiliano wa barabara na watu huvukia hapo.hivi hapo hyat kilimanjaro kuna Matuta kweli? au mimi ni mgeni dsm?
Ninachowapongeza polisi ni kumkimbilia majeruhi kwanza na kuzuia mabasi mengine ya mwendokasi yaliyokiwa yanakuja kwa kasi, ndipo dereva akapata mwanya kutoka nduki. Bodaboda amepandia mbele ya Mahakama Kuu.Polisi walikuwepo hapo. Nnachojiuliza huyo bodaboda ni mpumbavu kiasi gan
Serikali ni kama imewaruhusu jamaa wajiendeshe nje ya sheria na kanuni za usalama barabarani.madereva wa hayo mabasi wanajikuta miamba sana kuna mmoja alikatizaga taa nyekundu na spidi kama zote polisi alipomsimamisha...
Mkuu si ishakuwa mwendokasi sasa matuta ya nini tena hapo 🤭Halafu sijui kwanini barabara ya mwendokasi haihusiki na matuta
Polisi walikuwepo hapo. Nnachojiuliza huyo bodaboda ni mpumbavu kiasi gan
Ndio maana boda boda mnazuiwa msije mjiniMimi ndo yule boda boda mnasemaje??
Namshukuru Mungu sana,siku moja Jioni nilikua navuka barabara ya mwendokasi pale Utumish kwenye Zebra cross huku nachati na simu yangu,sikujua kua nimemaliza kuvuka kumbe bado niko ndani ya barabara,Basi kumbe upande wa pili bus la mwendokasi linakuja wangu wangu kutoka kivukoni,huku upande wa pili wafanyabiashara ndogo ndogo wapale pembeni wananiita kwa sauti kubwa sana nitoke barabarani,lakini masikini nilikua siwaasiki kabisa! Mungu ni mwema sana yule dereva wa mwendokasi alisimama karibu yangu kabisa,na ndiyo nastuka kua kumbe bado niko barabarani!! Kwa kweli namshukuru Mungu hadi Leo kwa kuniponya kwa hiyo ajali!!!!madereva wa hayo mabasi wanajikuta miamba sana kuna mmoja alikatizaga taa nyekundu na spidi kama zote polisi alipomsimamisha akaanza kuporomosha mitusi ya nguoni, ooh mimi mwanajeshi tena nimekuzidi cheo unaanzaje kunisimamisha ,sijui mbwa wewe sijui nini yaani kipindi kile nilijisikia aibu kwa niaba ya askari yule wa usalama barabarani, inatakiwa wawe wanawajibishwa kama watu wengine tu, hakuna mtu mwenye ruhusa ya kuua mwenzake hata kama unaendesha treni