Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,566
- 2,548
Kuna jamaa alitoa onyo kwa wale waliokaa kwenye kona! Ila sidhani kama walimsikia! Ajali kama hizi utokea sana kwenye mashindano ya magari kama haya. Kenya iliondolewa kwenye listi ya WRC kutokana na wananchi kushindwa kufuata masharti ya usalama wa mchezo kama huu.