Mchomamoto
Senior Member
- Aug 19, 2011
- 169
- 36
Vikosi vya wazamiaji vilivyokuwa vikitafuta miili ya watu walionasa kwenye meli ya Mv Spice Islander wameondoka baada ya zoezi la kupata miili zaidi kushindikana. Hata hivyo wamesema watajadiliana na serikali ya nchi yao kuangalia uwezekano wa kurudi kuendelea na kazi ya kutafuta miili ya watu waliokufa katika ajali hiyo.