Ajali ya Meli: Wazamiaji wa A.Kusini waaga rasmi

Mchomamoto

Senior Member
Aug 19, 2011
169
36
Vikosi vya wazamiaji vilivyokuwa vikitafuta miili ya watu walionasa kwenye meli ya Mv Spice Islander wameondoka baada ya zoezi la kupata miili zaidi kushindikana. Hata hivyo wamesema watajadiliana na serikali ya nchi yao kuangalia uwezekano wa kurudi kuendelea na kazi ya kutafuta miili ya watu waliokufa katika ajali hiyo.

Wanaenda kujadiliana kipi tena serikali yao?Awali walishasema kua uwezo wa kuzamia ni mita 54 kama sikosei,na si zaidi ya hapo.Tunawashukuru kwa namna moja ama nyingine kwa kukubali kuja kutusaidia katika zoezi hilo.Tukubaliane na tamko la serikali ya Zanzibar kua hapo ilipofikia ni hatua kubwa sana na kimsingi tukubali kwamba sehemu hiyo iwe tu kama kaburi la walofariki.

yani hatuna divers pia hadi watoke nje ya nchi? Lakini hela ya radar tunayo!

Siamini kama wameshindwa kuifikia hiyo meli manake hao jamaa ni wataalamu wa fani hiyo,itakua ni wanasiasa wameingilia kati wakazuia tu.

Hivi kweli walivyokuja walijua waogeleaji wetu hawafiki hizo 50Mtrs kama ndio ingekua ndio zenyewe,
Na hao wa-south walivyokuja hawakua wame-estimate umbali wa bahari?
Wao washaona wapi katikati ya bahari kukawa na Mita 50?
Kwanza tunawalipa au msaada?
Mi naona walikuja kutembea na kula per diem zao tu

Hapo kuna mengi..

1.walikuja kutalii tu.

2.walikuja kuchek kama kuna mafuta katika hicho kieneo(tz ina mafuta katika maeneo ya pwani ya bahari yake)

3.walikuja kuchek gesi maeneo hayo

4.walikuja kumpa moyo tu jk maana ni maswaiba zake(lakini walijua kuwa hawana ujuzi wa kufanya hiyo kazi).

5.walikuja kujifunza kuogelea. Maana haiwezekani washindwe kama wana vifaa vya kutosha. Haya bhana. Ni mtazamo wangu tu.

Hapo kuna mengi..

1.walikuja kutalii tu.

2.walikuja kuchek kama kuna mafuta katika hicho kieneo(tz ina mafuta katika maeneo ya pwani ya bahari yake)

3.walikuja kuchek gesi maeneo hayo

4.walikuja kumpa moyo tu jk maana ni maswaiba zake(lakini walijua kuwa hawana ujuzi wa kufanya hiyo kazi).

5.walikuja kujifunza kuogelea. Maana haiwezekani washindwe kama wana vifaa vya kutosha. Haya bhana. Ni mtazamo wangu tu.

We mbulula kweli!
We unajua mitungu ya gesi inamda wake,sasa ikiwaishia huko?
Nusu km kwako ni ndogo?
Mpeleke mama ako akazamie.

Kama hawana ujuzi walikuja kufuata nini?

Mzee umeseam kweli kama walijuwa hawana uwezo wakuingia hicho kiwango cha urefu wa baharini je walikuja kufanya nini kama sio kula per dim zao.
Nijuavyo mimi lazima watakuwa wameambiwa kiwango cha urefu wa kuzamia kabla hawajaja kufanya kazi sasa wamekuja wanazusha kwamba kiwango hicho ni kirefu sana
Jamani nichukuwe nafasi hii kwapa pole ndugu wote wa marehemu walioshindikana kupatakina mpaka sasa. Wakubali kwamba Mungu aliwapangia ndugu zao hao kuwa MAKABURI YAO YATAKUWA BAHARINI NA WAMSHUKURU MUNGU KWA YOTE.
Poleni sana jamani

Kuna habari nimeisikia kuwa hata wale askari wa KMKM wanaodaiwa walienda kuokoa hakuna aliyeshuka kuingia kwenye maji zaidi walikuwa wamebaki kwenye boti yao lakini waliokuwa wanaogelea na kuokoa watu ni wavuvi local.
Wavuvi walishangaa sana wakitegemea wale wanajeshi ni wazoefu kumbe ni waoga wa bahari.

Awa wazamiaji ni wasanii tu,hatuombei janga jingine na Mungu apishie mbali,lakini next time hata wakitoa ofa ya kuja bure muwakatae,nakumbuka wakati wa MV Bukoba pale Mwanza walikuja wazamiaji toka Afrika ya kusini sijui ni hao hao au ni wengine,walikuja na mbwembwe zote zaki uzamiaji ,viatu vya kichura chura na pensi za plastic,watu wakawa na matumaini ya kuwapata wapendwa wao,matokeo yake wali dive wee lakini hakuna mwili hata mmoja walioupata,story zikawa ni zile zile meli iko mbali,maji ni machafu hatuoni mbali,mwisho wa siku wakasitisha zoezi waka lipwa nightt zao na kuondoka bila ku opoa mwili hata mmoja,nadhani hao ni wazamiaji kama sio wa kwenye swiming pool basi ni third class.Dawa tutrain wazamiaji wetu,wako watu pale kilwa kisiwani,bumbile ,Goziba, Lushala,Kigoto,Mwaloni,Tanga etc ambao hawajaenda shule kabisa lakini wamejifunza kwa kukulia ziwani na baharini,hawaitaji gharama kubwa kuwatambua,kuwapa refresher training, na kuwaweka kwenye data base,wanapewa posho kidogo kidogo na kuwapa training at least kila baada ya miezi 6,inapotokea emergency wanakuwa mobilized na wanakimbizwa kwenye tukio kuliko kuletaawa wazungu wababaishaji wasio na uzalendo,tuko mentally colonized na south Africa na China ,kila kitu tuanawaita wasaidie,kuna siku tutawaita watusaidie kuchimba makabuli.Shame on us.

Tunawashukuru kwa namna moja ama nyingine kwa kukubali kuja kutusaidia katika zoezi hilo.
"Tunashukuru kwa kuja kutusaidia"?

Tunajuaje hawakulipwa? Katika nchi ambayo haina transparency wala media ya ukweli huwezi jua kama ni bure au tumeshaliwa ma milioni hapo.

Ndio imetoka hiyo. Business as usual as if nothing happened.

We mbulula kweli!

We unajua mitungu ya gesi inamda wake,sasa ikiwaishia huko?

Nusu km kwako ni ndogo?

Mpeleke mama ako akazamie.
kuwa na adabu pimbi wewe... S.AFRICA mwaka 1994 waliwahi kuzama mpaka kina cha 256m. Lile eneo kina chake hakizidi 300m. Na ipo mitungi ya gesi inaweza kufika mpaka 650m. Acha masaburi, mama yangu anahusika vipi hapa? Unajua alipo?

yani hatuna divers pia hadi watoke nje ya nchi? Lakini hela ya radar tunayo!

Dependence syndrome,

Miaka hamsini ya uhuru wa kuchagua nani wa kumtegemea.

Tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele - masihara ya serikali yetu

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom