GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
Hii kitu ukiitazama kwa juu ni kama iko pouwa tu..ila ukiitazama kwa undani ni kama unaweza kushangaa
Usiku wa jana ...huko Zanzibar au Tanzania Visiwani..wamepatwa na msiba mkubwa sana..wakupoteza watu wengi kwa ajari ya meli
Leo jumamosi..Tanzania Bara tunafanya shindano kubwa la urembo ..Vodacom Miss Tanzania..kumbuka Miss Tanzania haina mshiriki toka Zanznibar(Tanzania Visiwani)...
Je hii haiwezi kuzua mjadala...kwa wazanzibari
Ni wangu mtazamo
<br />
<br />
Kuhusu habari gani Shossi? Mbona sijaelewa.
wanasubiri maelekezo wasema watu wangapi wamekufa.....Wakuu nimestaajabishwa sana na hili hasa kwa upande wa TV stations ikiwa za nje zimeweza kuujuza ulimwengu kwanini TV stations zetu hawana updates/wamechelewa kutuletea updates zaidi ya kutuonyesha cartoons na maandishi kupita kwa chini? Au wapo busy na Miss Tanzania? Inasikitisha sana.
Tunasubiri habari ya saa 2, hawana maana kabisa hawa watu wa media!
Inategemea ukubwa wa msiba au janga mkuuNyie watu vipi? Misiba mbona iko kila siku. Msiba unatokea kwenye familia au ukoo na wanandugu wanakuja kutoa pole kisha hao wanaendelea na shughuli zao.
Hii standard ya kusema shughuli zisitishwe kisa msiba imeanza lini?
Naunga mkono kusimama kimya dakika moja kuwakumbuka marehemu, lakini sio kusitiisha shughuli yote.
Shossi vyombo vyetu vya habari ikifika usiku sisi tukilala navyo vinalala vinaamka saa 12 asubuhi.
sasa wakisubiri taarifa ya polisi..watakuwa wameenda kutafuta habari au kuchukua habari?...media zetu bana..uwiiiiii