Poleni sana mkuukuna ndg yangu kafariki ktk ajali hiyo .
Pole sana mkuukuna ndg yangu kafariki ktk ajali hiyo .
Pole sn mkuu nishaa wai mkosa bajaji mafinga wanaendesha rafu sana yale maeneo.kuna ndg yangu kafariki ktk ajali hiyo .
Mara nyingine unaendesha Semi lina tani 32 wanakupigia honi uwapishe😁Bajaji na bodaboda, madereva wa hivi vyombo huwa hawapo makini
Hawa watu nina negative feelings nao sana. Naomba tu isitokee nikawanyima haki pale wanapostahili kwendana na negativity juu yao.Bajaji na Bodaboda TOYO na Powertiller wengi wao huwa hawafuati sheria za Barabarani.
Utasema wanaendesha Vifaru kwamba ukimgonga unaumia wewe.
Bodaboda, yupo nyuma ya gari yako, upande wa kushoto, na anataka apinde kulia.Bajaji na bodaboda, madereva wa hivi vyombo huwa hawapo makini kabisa. Wao wakijua kuendesha tu basi, habari za sheria za barabarani sio zao. Na huko tunakokwenda vyombo hivi vitakuwa kama utitiri barabarani, kwa hivyo tutegemee ajali nyingi zaidi.
Eti, zimeondolewa hiace, kwa sababu ya msongomano, wameingiza bajaji.Kuna VIFO SIO MIPANGO YA MUNGU bali vinatokana na MIPANGO MIBOVU ya WASOMI wetu uchwara.
Fikiria Jiji la Daaslam tulipiga stop HIACE tukaziita Vipanya halafu leo tumeruhusu BAJAJ Utitiri??
Unajiuliza ni Akili au ni Bangi?
Highway Unaruhusu Bajaj ni akili au ni UTI imekula Ubongo?? Kwa kifupi akili ya Mtu mweusi akina sisi ina Mapungufu ya kimaumbile ndio maaana Sheria na Matendo yetu Vinachekesha na kutia Simannzi.
Kwa kifupi BAJAJ na BODABODA hazipaswi kuwepo Katikati ya Majiji na kwenye HIGHWAY... Period
Na ninavyozipenda sasaHizi bajaji za manzese ,,Mbezi zinaua kila siku lakini wenye sirikali kimya!!! Poleni wafiwa
Mara nyingine unaendesha Semi lina tani 32 wanakupigia honi uwapishe😁
Dereva wa Semi Shujaaumenikumbusha, kuna boya mmoja Magomeni, semi lilipita kwa spidi, likamrushia yule boda Maji ya dimbwi yaliyokua barabarani pembezoni
boda kawasha chuma kaanza kuikimbiza semi, akaidaka karibia na bakhressa akawa anapiga pembeni ili mwenye Semi asimame
mwenye semi kampelekea kule kule alipo, iliyopona ni pikipiki tu, jamaa yuko kwenye tairi za nyuma zile mbili zinazokaa pamoja kasagika vibaya mno aka RIP hapohapo