jitukubwalao
Senior Member
- Mar 29, 2011
- 195
- 161
- Thread starter
- #21
Naona hawajanielewa wamesoma na kukurupuka kujibu, ndio shida ya vijana wengi wa voda faster, kuhusu msaada nilishindwa kutoa kweli lakini kulikuwa na sababu maalumu za kufanya hivyo, huyo dereva sikumsababushia ajali mimi yeye alichomekea kizembe mbele ndio akukutana na semi na nimesema huo ni uzembe tu angekuwa makini hayo yote yasingemkuta. Ni vizuri kuelewa mada mapema kuliko kukurupuka kujibu tuHivi mmemuelewa mtoa mada?