Ajali ya Hiace Yaua Mmoja Songea

Ajali ya Hiace Yaua Mmoja Songea

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
ajali-1.jpg


Songea, Ruvuma

MTU mmoja ambaye hakufahamika jina lake aliyekuwa akiendesha baiskeli amegongwa na gari ndogo ya abiria aina ya Toyota Hiace na kufa papo hapo maeneo ya Mfaranyaki mjini Songea mkoani Ruvuma leo.
 
Back
Top Bottom