Sidhani kama mtu anahitaji kupitia JKT ili aweze kutoa msaada. Kwanza jamaa anaonekana anaelewa mambo mfano anawaambia wasimwage maji kwakuwa ni moto wa petrol. So huyo angalau ana idea ya fire fighting lakini sasa ndio hana msaada zaidi ya kuchukua video.
Bodaboda pia zinatakiwa kuwa nazo hizo fire extinguisher, ni sheria japo hawataki kuitekeleza, nikitumia yangu nani atanilipa! Siwezi labda kama serikali itanifidia bure.
Bodaboda pia zinatakiwa kuwa nazo hizo fire extinguisher, ni sheria japo hawataki kuitekeleza, nikitumia yangu nani atanilipa! Siwezi labda kama serikali itanifidia bure.
Serikali iweke sheria ukitumia kizimamoto chako unapeleka mtungi mtupu Zimamoto na Uokoaji ambako utapewa mwingine, kumbuka mtungi unauzwa shs.40,000/=.