Ajali ya basi na Fuso yaua watu tisa na wengine kujeruhiwa

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,615
Reaction score
40,162
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, watu tisa wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa ajali wilayani Chemba, Dodoma.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyohusisha basi la abiria na lori la mizigo aina ya Fuso.

Miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya Chemba huku majeruhi wakiendelea kupatiwa matibabu.

Pia soma Familia yateketea kwa ajali Msata

1758193501489.png

Source: Mwananchi
 
Matukio ya ajali za barabarini zimekuwa nyingi sana katika kipindi hiki kifupi, kuna uhitaji wa Mamlaka kufuatilia hivi vyanzo vya ajali na kuweka msisitizo wa usalama wa barabarani kwa hawa Madereva wetu.
Juzi tu familia ya watu watano walipoteza maisha leo tena taarifa nyingine ya ajali

Nashindwa kuelewa kosa ni la Mdereva au ndo muda wa kumwaga damu

-----------

Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, watu tisa wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa ajali wilayani Chemba, Dodoma.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyohusisha basi la abiria na lori la mizigo aina ya Fuso.
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya Chemba huku majeruhi wakiendelea kupatiwa matibabu.
1758200842346.png

1758192386104.png

1758200870789.png

Chanzo: Mwananchi_official
 
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, watu tisa wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa ajali wilayani Chemba, Dodoma.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyohusisha basi la abiria na lori la mizigo aina ya Fuso.
Miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya Chemba huku majeruhi wakiendelea kupatiwa matibabu.

R.I.P
 
Ccm sio binadamu mkuu niliyoyashuhudia Kwa mgombea maarufu wa ubunge Hivi majuzi jambo la hatari..
Naweka intelligence yangu sawa kama hajanigundua nimejua nakuja kushusha Uzi wa kumuumbua humu

Kila la kheri mkuu
 
Unitag mkuu
 
Yaani hiyo habari kama vile hujahabarishwa chochote
 
Source nimeweka hapo ni mwananchi gazeti kama hujatosheka nenda kwenye page yao kawaulize Mimi sikuwepo huko Chemba
 
Hilo daraja la leseni la C lina mlolongo kibao kulipata mara mitihani ya LATRA na ukifuata utaratibu unapaswa kuwa na leseni ya udereva kwa miaka 6 yaani D (3yrs),C1/E (3yrs) lakini bado ajali za mabasi haziishi!!
 
Back
Top Bottom