Ajali ya basi la prince muro

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
ndugu zangu ambae ana talifa zaidi nasikia basi la prince moro toka tunduma dar limeata ajali maeneo ya nyororo iringa mwenye talifa zaidi atujuze mana ile gari inasifika kwa kukimbia sijui kama watu wamepona tunaomba talifa zaidi
 
Source:
Twafadhali!
 
mungu apishie mbali lakn bana hiyo basi ni balaa..., madereva wao hawana roho wale,, nliwahi kuipanda nlijuta, afu wafanyabiashara wa tunduma wao wametulia hamna hata anayelalamika!!
 
ndugu zangu ambae ana talifa zaidi nasikia basi la prince moro toka tunduma dar limeata ajali maeneo ya nyororo iringa mwenye talifa zaidi atujuze mana ile gari inasifika kwa kukimbia sijui kama watu wamepona tunaomba talifa zaidi
Mkuu, upo Mbeya, halafu unashindwa kupata taarifa? basi ngoja tungoje aliyeko Nyololo atupe taarifa!!
 
Great thinker unashindwa hata kuhoji unapopewa taarifa,,kuna vitu vya msingi ungetakiwa kuuliza kwa aliyekupa taarifa kabla hujaja kupost.
 
ndugu zangu ambae ana talifa zaidi nasikia basi la prince moro toka tunduma dar limeata ajali maeneo ya nyororo iringa mwenye talifa zaidi atujuze mana ile gari inasifika kwa kukimbia sijui kama watu wamepona tunaomba talifa zaidi

Kwa haraka haraka imeua watatu
 
mkuu umeleta taarifa dizaini ka unakandia ,i mean ka unategemea au una uhakika hajapona mtu,sio vizuri hvo
 
Back
Top Bottom