Wapi hiyo mkuu maana sisi ni wadauwa hiyo kitu na jinsi ilivyo yaweza kuchelewesha watu wakati huu tunapotoka maofisiniKuna ajali imetokea muda huu kati ya basi la mwendokasi limegongana na gari dogo! Haukuna majeruhi
na huko bagamoyo vipi nasikia watu wanaokotwa kwenye viloba...........
Bosi kuwa na staha kidogo