Madereva wa Maning Nice ni BALAA, wanatumia chini ya saa nane kutoka mtwara-DAR
Mkuu unashangaa kitu gani. Mtwara-Dsm ni umbali usiozidi km 500. Mwendo wa kawaida hii ni safari ya saa 7 tu umefika mwisho wa safari. Nakumbuka barabara hii ina traffic ndogo sana.