Ajali ya basi la Maning Nice

Ajali ya basi la Maning Nice

Malignant Tumor

Senior Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
190
Reaction score
99
Kumetokea ajali ya basi la maning nice linalofanya safari za Dar- Masasi, thanks God hakuna aliyepoteza maisha, chanzo ni uterezi.
 
Attachments

  • 1396178452147.jpg
    1396178452147.jpg
    90.8 KB · Views: 799
  • 1396178472794.jpg
    1396178472794.jpg
    102.5 KB · Views: 848
Kumetokea ajar ya bas la maning nice linalo fanya safar za Dar Masasi, thanks God hakuna aliyepoteza maisha, chanzo ni uterezi

Mbona barabara inaonekana iko vizuri tuu..?! Huo bana ni uzembe wa dereva hapo,mambo ya kukesha kwenye ma-club,unaamka na mausingizi then unaenda kuendesha gari..Afungwe huyo
 
du mkuu usihukumu kihivyo, there are so many reasons ambzo zinaweza sababisha ajali, kama ww n dereva then you know what im talking about, tusiwe kama police na simple majibu yao. utasikia gar ilipoteza mwelekeo kutokana na mwendo kasi.

Mbona barabara inaonekana iko vizuri tuu..?! Huo bana ni uzembe wa dereva hapo,mambo ya kukesha kwenye ma-club,unaamka na mausingizi then unaenda kuendesha gari..Afungwe huyo
 
Mbona barabara inaonekana iko vizuri tuu..?! Huo bana ni uzembe wa dereva hapo,mambo ya kukesha kwenye ma-club,unaamka na mausingizi then unaenda kuendesha gari..Afungwe huyo

Tatizo unatumia baiskel huez jua kwanini gari zinateleza
 
Mbona barabara inaonekana iko vizuri tuu..?! Huo bana ni uzembe wa dereva hapo,mambo ya kukesha kwenye ma-club,unaamka na mausingizi then unaenda kuendesha gari..Afungwe huyo

Sawa inawezekana kuna uzembe lakini kuna sababu nyingine mfano utelezi wa lami,utelezi wa mafuta kama kulitokea ajali mafuta yakamwagika,nk.
 
Sawa inawezekana kuna uzembe lakini kuna sababu nyingine mfano utelezi wa lami,utelezi wa mafuta kama kulitokea ajali mafuta yakamwagika,nk.

ni kweli zipo sababu nyingi tofauti zinazochangia barabara kuteleza
 
Kumetokea ajali ya basi la maning nice linalofanya safari za Dar- Masasi, thanks God hakuna aliyepoteza maisha, chanzo ni uterezi.

wakati MANING NICE inapoteza mwelekeo, ilikuww inapishana na basi nikiyopanda MACHINGA ya saa 5 kutoka mtwara-dar.

HABARIKA;
kulikuwa na mvua kali ikinyesha, dereva wa MACHINGA akajaribu ku'zichomokea' LORI 2 za mabomba ya GESI ambazo zilikuwa zinatokea upande wa lindi mjini kwenda upande wa kilwa, zote zikiw kwa mwendo wa kasi. MARA, mbele kulikuwa na gari MANING NICE, kwa mwendo wa kasi. gari la la MACHINGA ikashindwa kumpa nafasi kubwa MANING NICE, nalo likapoteza mwelekeo na kuanguka mara baada ya kupishana na MACHINGA.
POLENI NDUGU ZANGU.
 
Hizi habari mbona zinatuchanganya? Juzi kuna mtu alileta uzi hapa kuwa sumatra wamefungia leseni ya maningnice kwa sababu ya ajali iliyotoke huko kusini then leo inainekana wako barabarani tena? Au jamaa alikuwa anatuongopea?
 
Poleni sana wasafiri Mungu ajalie mfike salama huko muendako .
 
Kumetokea ajali ya basi la maning nice linalofanya safari za Dar- Masasi, thanks God hakuna aliyepoteza maisha, chanzo ni uterezi.

Jamani inakuwaje juzi kuna mtu alileta uzi humu kuwa maningnice imefungiwa leseni yake na sumatra kwa kusababisha ajali huko kusini, leo tena tunaambiwa imepata ajali barabara hiyo hiyo!
 
Madereva wa Maning Nice ni BALAA, wanatumia chini ya saa nane kutoka mtwara-DAR
 
Kiongoz maning nice yaliyo fungiwa ni yale yanayo fanya safar za Dar-Mtwara, yale ya safar za sehemu nyingne kama Dar-Lushoto n.k. hayakufungiwa
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Kibelloh ni swahiba wake JK. Kibelloh alipandishwa cheo kuchukua nafasi ya Balozi Mtango, "mkorofi" aliyesafisha uchafu uliachwa na Diria na Msabaha wizara ya mambo ya nje.

Kuna watu ambao hawakupenda utendaji kazi wa Mtango. Inasemekana hiyo ndiyo sababu ya kupelekwa Japan "kupumzika." Mtango aliwapa taabu sana wazembe wizara ya mambo ya nje kwasababu ya kuwaburuza. Ilifikia kipindi akapachikwa jina Mussollini[Dikteta wa Italy.]

Sawa mkuu, ila ukisoma post ya leo hii ajali anasema imetokea hukohuko kusini yaani lindi!
 
Hizi habari mbona zinatuchanganya? Juzi kuna mtu alileta uzi hapa kuwa sumatra wamefungia leseni ya maningnice kwa sababu ya ajali iliyotoke huko kusini then leo inainekana wako barabarani tena? Au jamaa alikuwa anatuongopea?

hii habari inarudiwa mkuu
 
Hizi habari mbona zinatuchanganya? Juzi kuna mtu alileta uzi hapa kuwa sumatra wamefungia leseni ya maningnice kwa sababu ya ajali iliyotoke huko kusini then leo inainekana wako barabarani tena? Au jamaa alikuwa anatuongopea?
hata mi ndo nashangaa hapo tu.mana walisema imegonga bodaboda na kuua hivyo ikabd wafungiwe.
 
Haya sasa wenye Blog muongezee na maneno yenu sasa
 
Back
Top Bottom