Ajali ya Basi la Dar Express Kibaha

Kumetokea ajali saa 11:30 ya basi la Dar express picha ya ndege Kibaha linaloingia Dar jioni hii na Semi ya mafuta na imetokea upande wa kulia nje ya barabara namaanusha basi lilitoka nje ya sight yake
Pole majeruhi na tuombeane salama na mie pia nipo barabarani
Wenye Updates mtujuze

Basi MUNGU ashukuriwe km hakukutokea majeruhi mpaka sasa na washukuriwe waliofuhabarisha kuwa chanzo ni pikipiki (Bodaboda) iliyokatiza
attachment.php

poleni, mungu awajze moyo wa nguv kipndi kigum family
 
Unaona serkali yetu ilivyo ni longo longo nyingi badala ya maendeleo.. Barabara tangu enzi za mkoloni wakati wa vibito na peugeot na mabasi ya railways(shape ya mkate wa boflo) sasa leo kuna mabasi makubwa mithili ya gorofa na magari madogo mithili ya nyumba sasa barabara hazikidhi mahitaji..Mheshimiwa Magufuli nakupongeza kwa kazi nzuri ndani ya jiji mbona unasahau na barabara za kwenda mikoani ambazo ni kiungo kikubwa kwa uchumi wa Tanzania kuliko hata hizo za ndani ya jiji. Ni maoni tu mheshimiwa tuwe tunaangalia mbali. Upanuzi wa barabara kuu utapunguza ajali.
 
Sasa huo ni ugomvi akuelewesheje mpaka ametoa picha au atoe na picha yake kamili
 
Back
Top Bottom