Sawa, kwa mtazamo wako na upeo wako kufikiri yawezekana umeishia hapo. Kuna DHL, FEDEX, KFC na watu binafsi kibao wanaendesha pikipiki kwa ufasaha. Kuna pkpk BMW, Honda,Suzuki zina thamani kuliko hivyo vi IST, PASSO, Vitz na gari nyingi mnazo tamba nazo, kusema miguu miwili sijui nini, inaonyesha ni mshamba fulani limbukeni. Ila ngoja nikuache na ushamba wako ukihisi mjanja.