kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,108
Kuna lori limepinduka mida hii hapa njia panda ya Kijichi.Inasadikiwa limebeba nguo nipo kwenye daladala naona raia wanakimbia kwenda kwenye eneo la tukio na wengine wanatoka wakiwa wameiba nguo na kukimbia.
Sina taarifa ya majeruhi wala vifo,barabara ya kutoka rangi 3 imeziba.
Sina taarifa ya majeruhi wala vifo,barabara ya kutoka rangi 3 imeziba.