Hee lilikuwa linatoka wapi na kwenda wapi?
Ingekuwa kweli radio one wangeshatujuza.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Kwani radio one ndiyo specialist wa habari za ajali? Au wanarusha matangazo kutoka wami?
Ni kweli nimewasiliana na Tanga stendi yote hakuna habari kama hiyo.Mimi nipo TANGA karibu na mmiliki wa Rahaleo. Habari hizo ni uzushi mtupu pia kuna askari wa usalana barabarani wa pale wami nimesiliana nae amenithibitishia kua hakuna ajali kama hiyo.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mimi nipo TANGA karibu na mmiliki wa Rahaleo. Habari hizo ni uzushi mtupu pia kuna askari wa usalana barabarani wa pale wami nimesiliana nae amenithibitishia kua hakuna ajali kama hiyo.