Hawa Kisesa watamaliza roho za watu. Huu ni mwanzo tu.
Sababu ni kwamba dereva ni mmoja tu, from dar to mwnz.
Nina ushuhuda kwa hili. Sumatra na traffic fuatilieni hili.
Imagine toka UBUNGO saa 11.30, afike mwnz SAA 6 usiku. Kesho yake anaamkia tena stand!
Onyo: mawakala was zuberi bus waache kuwalazimisha abiria kupanda bus la kisesa. MTU anakata tiketi ya zuberi, akifika stand asubuhi anaambiwa bus lililopo ni kisesa!

miliki ni mmoja na huo ni mchakato wa kuliondoa taratibu jina la Zuberi.....!Kawaida konda Jo wa Zuberi ni dereva msaidizi.
miliki ni mmoja na huo ni mchakato wa kuliondoa taratibu jina la Zuberi.....!Kawaida konda wa Zuberi ni dereva msaidizi.
Hawa Kisesa watamaliza roho za watu. Huu ni mwanzo tu.
Sababu ni kwamba dereva ni mmoja tu, from dar to mwnz.
Nina ushuhuda kwa hili. Sumatra na traffic fuatilieni hili.
Imagine toka UBUNGO saa 11.30, afike mwnz SAA 6 usiku. Kesho yake anaamkia tena stand!
Onyo: mawakala was zuberi bus waache kuwalazimisha abiria kupanda bus la kisesa. MTU anakata tiketi ya zuberi, akifika stand asubuhi anaambiwa bus lililopo ni kisesa!
Hawa Kisesa watamaliza roho za watu. Huu ni mwanzo tu.
Sababu ni kwamba dereva ni mmoja tu, from dar to mwnz.
Nina ushuhuda kwa hili. Sumatra na traffic fuatilieni hili.
Imagine toka UBUNGO saa 11.30, afike mwnz SAA 6 usiku. Kesho yake anaamkia tena stand!
Onyo: mawakala was zuberi bus waache kuwalazimisha abiria kupanda bus la kisesa. MTU anakata tiketi ya zuberi, akifika stand asubuhi anaambiwa bus lililopo ni kisesa!
wewe nani anakudanganya kwamba der Ieva ni.mmoja?Halafu huelewi zuberi na kisesa ni kampuni moja tofauti ni jina tu@Prince Hope[/MENTION].
Mabus haya konda ndio huwa co driver,mimi ndio huwa natumia mabus haya kisesa/zuberi siku zote,jaribu mbinu zingine aisee kwa hili umekwama,wanamwendo mzuri ambao sio pasua kichwa!
Punguza ushabiki.
Niambie tarehe 4 July 2015, to mwnz, madereva walikuwa nani na nani?
Muulize yule ustadhi alisaidiwa na nani pale alipochoka?
Pia muulize baada ya kutoka Shinyanga, tulipokoswa koswa head on collision, haikusababishwa na usingizi plus uchovu?